Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanakupa story ganiJamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
Sasa si useme hiyo sababuJamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
Yaani wabongo shida sana, wewe umeomba mkopo benki ukiwa wewe na mhudumu/waudumu wa benki lkn unakuja kutuuliza sisi. Alafu unasema wiki ya tatu sasa kwani hukuuliza lini mkopo wako utakuwa tayari? Au baada baada ya kuandikiwa milioni kadhaa tu ukapagawa? Nina wasi wasi huu mkopo utaishia kununua smart TVJamani naomba kujua kama CRDB Bank wamesitisha kutoa mikopo ya watumishi na Biashara kwani nimeomba mkopo wa watumishi wiki ya tatu sasa bado hawajaingiza hela mpaka sasa wananipa story tu.
[emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wabongo shida sana, wewe umeomba mkopo benki ukiwa wewe na mhudumu/waudumu wa benki lkn unakuja kutuuliza sisi. Alafu unasema wiki ya tatu sasa kwani hukuuliza lini mkopo wako utakuwa tayari? Au baada baada ya kuandikiwa milioni kadhaa tu ukapagawa? Nina wasi wasi huu mkopo utaishia kununua smart TV