Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Maua mengine hapo naona kama vile hayamwagiliwi!Asante Pasco "maua" mazuri
Ndio photogenic wao!, si umemuona ametokea kwenye picha 6 kati ya 9!.Namuona dada angu clara hapo ana ng'ara
Anajua!, wengine tuliishindikana kitambo!, ila uzuri wetu ni ...kwa macho tuu!.Mkuu pasco heshima yako!! Samahani kaka naomba kukuuliza...hivi shemeji anajua kuwa kuna kitu kinaitwa 'jf'?!. Maanaake nina wasiwasi kuna siku frying pan itatua kichwani kwako
Hizi ni zako chuki binafsi tuu dhidi ya Mtaa wa Lumumba!.Nilitaka nshangae, hata hivo uzi huu umethibitisha dhana yangu kua kitu chochote kutoka Lumumba lazima kitakua kibovu tu, maua gani hayo ambayo 99% ni zilipendwa mileage laki 4?
Sawa kaka Pasco, Lowassa nchi anachukua?Hizi ni zako chuki binafsi tuu dhidi ya Mtaa wa Lumumba!.
Pasco
There is nothing to stop him!, japo mimi binafsi nina mashaka kidogo na hali ya afya yake kuhimili mikiki mikiki ya kampeni nchi nzima!, hivyo kwa upande mwingine namuhesabu kama a "pace maker" kama alivyo Yohana Mbatizaji, kusafisha tuu njia na kuyanyoosha mapito ya yule yuajaye!.Sawa kaka Pasco, Lowassa nchi anachukua?
teh teh teh..dah haya bana!There is nothing to stop him!, japo mimi binafsi nina mashaka kidogo na hali ya afya yake kuhimili mikiki mikiki ya kampeni nchi nzima!, hivyo kwa upande mwingine namuhesabu kama a "pace maker" kama alivyo Yohana Mbatizaji, kusafisha tuu njia na kuyanyoosha mapito ya yule yuajaye!.
Pasco
yuko wapi.?Namuona dada angu clara hapo ana ng'ara