CRDB Bank -Lumumba ni 'Maua' na Maua!

CRDB Bank -Lumumba ni 'Maua' na Maua!

Ndio photogenic wao!, si umemuona ametokea kwenye picha 6 kati ya 9!.
Wateja wa CRDB Lumumba wanafaidi.....!
.....huduma.....
...za kibenki!.
Pasco

Hahaaa kumbe Pasco unampatapata me nlidhani baada ya kuolewa atahama branch.
 
Ni yule mzuri kuliko wote!.
Pasco
so far kila mtu ana definitio yake ya uzuri kwa hapa its very obvios kwamba kila mtu atamchagua wa kwake anayeomuona mzuri na sio kumjua aliekusudiwa
 
Hahaaa kumbe Pasco unampatapata me nlidhani baada ya kuolewa atahama branch.
Duh, kumbe ameishawahiwa!. Kiukweli kuna watu wana bahati!. Asiye bahati, habahatishi!.
Ila kwa matumizi yangu ya huduma za kibenki, atosha, wengine wenu kina sie, hata kwa macho tuu, tuna..
Pasco
 
Ning'ekuwa sina pesa ya mawazo, kuna mmoja hapooo!!!!!!!!
 
Hahaaa umenichekesha Pasco yeah kawaiwa tena mwaka huu huu
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa umenichekesha Pasco yeah kawaiwa tena mwaka huu huu
Then ni makos a yangu mwenyewe!, nimekuwa nikimuona tuu bila kusema chochote!, si unajua akizimika sana mahali, hata kujaribu huthubutu!, huthubutu!, wamekuja wenye bahati zao, wakatukuta tunatazama, wakawahi, wakajichukulia, na kutuacha tukiendelea kutazama tuu!.

Hahaaa ila kwa huduma bora za kibank unazozipata zinatosha.
 
Hahaaa ila kwa huduma bora za kibank unazozipata zinatosha.
You are very right!, I get almost everything and the best banking services ever!, I can't ask for anything more!, tena napata sio tuu zile huduma za kawaida za kibenki, bali hadi huduma za ziada, "some exclusive priemier services!" on top of macho nayo kushiba!.
Pasco
 
Back
Top Bottom