qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Ndio photogenic wao!, si umemuona ametokea kwenye picha 6 kati ya 9!.
Wateja wa CRDB Lumumba wanafaidi.....!
.....huduma.....
...za kibenki!.
Pasco
Ni yule mzuri kuliko wote!.yuko wapi.?
so far kila mtu ana definitio yake ya uzuri kwa hapa its very obvios kwamba kila mtu atamchagua wa kwake anayeomuona mzuri na sio kumjua aliekusudiwaNi yule mzuri kuliko wote!.
Pasco
Shika adabu yako tena ikushike!.Tupieni namba basi kama mpo sokoni?
Shika adabu yako tena ikushike!.
Shika adabu yako tena ikushike!.
yuko wapi.?
Duh, kumbe ameishawahiwa!. Kiukweli kuna watu wana bahati!. Asiye bahati, habahatishi!.Hahaaa kumbe Pasco unampatapata me nlidhani baada ya kuolewa atahama branch.
wateja wa crdb lumumba wanafaidi.....!
.....huduma.....
...za kibenki!.
pasco
Then ni makos a yangu mwenyewe!, nimekuwa nikimuona tuu bila kusema chochote!, si unajua akizimika sana mahali, hata kujaribu huthubutu!, huthubutu!, wamekuja wenye bahati zao, wakatukuta tunatazama, wakawahi, wakajichukulia, na kutuacha tukiendelea kutazama tuu!.Hahaaa umenichekesha Pasco yeah kawaiwa tena mwaka huu huu
Sio nyamachoma ni michemshojamani wanawake na hivi vitambi...kah...!!!! tupunguze nyama choma na bia....
Then ni makos a yangu mwenyewe!, nimekuwa nikimuona tuu bila kusema chochote!, si unajua akizimika sana mahali, hata kujaribu huthubutu!, huthubutu!, wamekuja wenye bahati zao, wakatukuta tunatazama, wakawahi, wakajichukulia, na kutuacha tukiendelea kutazama tuu!.
Pasco
Naona maua mengine yanahitaji kuwa pruned
You are very right!, I get almost everything and the best banking services ever!, I can't ask for anything more!, tena napata sio tuu zile huduma za kawaida za kibenki, bali hadi huduma za ziada, "some exclusive priemier services!" on top of macho nayo kushiba!.Hahaaa ila kwa huduma bora za kibank unazozipata zinatosha.