CRDB Bank mnaboa, yaani topup ya mkopo week 2

CRDB Bank mnaboa, yaani topup ya mkopo week 2

Katufu

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2012
Posts
523
Reaction score
309
Hii bank walikuwa serious na customer care nzuri lakini naona sijui wameingiwa na mdudu gani? Yaani week mbili nashughulikia nyongeza ya mkopo (topup), mara lete hiki, mara kile, vitu ambavyo wanavyo tayari kwa mkopo wa kwanza.

ACHENI USUMBUFU USIO NA MAANA
 
Siku ile wanatangaza eti mkopo utaupata in 24 hours ukiwa na kila kitu, nikajua yale mambo ya "vigezo na masharti kuzingatiwa" yataingia kazini.
 
Hawa jamaa nahisi kuna shida flani sio kawaida yao, mimi mwenyewe nina miezi miwili nazunguka nao blaablaaaa kibao hadi wanasema subiri tutakupigia simu mambo yakiwa tiyari, in short siku hizi wanachosha!!
 
hivi bado unachukua hiyo suicide loan mkuu? Pole sana Personal Unsecured loan ni kifo
 
Wakishakupa mkopo, nitafute kupitia namba hizi
0754855210
 
Back
Top Bottom