CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

Nna acc 3 za hao Crdb.
Zote hata hazieleweki.
Toka mwaka jana wameniblock kulog inn wanantumia email kilaleo kwamba acc yako iko blocked tupigie tuifungue.
Ila hawasahau kukata hela yao kila mwezi 7000 nafkiri.
 
Account yangu ya Nmb ilikuwa haina kitu kwa muda wa miezi 4 nikaja kuweka elfu 50 ikakatwa yote, tangia siku hiyo sijaweka ela Tena, now Nampango wa kufungua account ya EXIM Bank au ni renew card yangu ya CRDB
😁😁😁😁nyumba yako inawaka moto unaruka dirishani unarukia kwa jirani inakoteketea moto tena
Karibu katika bank isemayo "bank that listen"😁😁

Tutakusikiliza km mtoa mada😁
 
Kweli hali ni mbaya. Ila hiyo ni kawaida mkuu kila benki lazima wakate gharama za uendeshaji
 
wasukuma na wapenda sana ndio maana ccm wanawaogopa sababu pesa zao zipo ndani sio benki
 
Labda wameshindwa kukuelimisha uzuri.

Huyo mfadhili wanomsema ni kampuni ya Visa ambao ndo huwezesha matumizi ya tembo card na kadi zingine zenye nembo yao.

Visa huwezesha manunuzi na matumizi yoyote ya kidijitali ikiwemo mitandaoni na malipo mbalimbali kwa benki na makampuni mbalimbali yenye kutoa kadi za kibenki duniani.

Hivyo Visa huwatoza CRDB tozo ya kiasi fulani na kisha CRDB hukutoza weye hiyo tozo ya kila mwaka ili kufidia ile tozo walokatwa na Visa.

Hiyo 2,000 ya kila mwezi ni "maintenance fee" ya akaunti yako.

Kwa nchi zetu hizi za Afrika gharama za kuendesha akaunti yako huwezi kuzikwepa na pia hizo tozo zao ndizo zinozifanya banki ziweze kusimama kiuchumi na kiuendeshaji.
 
Bank zote za Tanzania wizi mtupu badala ya kulipa interest kwenye hela wateja wanazo weka bank wao wanatoza service charge. Na hapo hapo ukienda kukopa wanakulima 20% interest rate. Yote hayo ni kwasababu ya kuwa serikali isiyo wajibika kwa wananchi wake. Serikali Ina shirikiana na wafanya biashara kufukariaha wananchi wake.
 
Uko sahihi kabisa. Mimi account ya CRDB nilishaitelekeza karibu miaka mitano sasa. Na sitaki kujua kinachoendelea huko,maana nilikomba hela yote nikabakiza kidogo sana. NMB na TCB ndio habari ya Mjini.
 
True 100/=
 
Wakuu naomba kuuliza, nna miaka miwili tangu niwe na card ya CRDB lkn sijawahi kukatwa pesa yoyote zaidi ya zile za kutoa pesa, hii imekaaje au card yangu imeungwa na zile kaya masikini hvy wananionea huruma.?
 
Wakuu naomba kuuliza, nna miaka miwili tangu niwe na card ya CRDB lkn sijawahi kukatwa pesa yoyote zaidi ya zile za kutoa pesa, hii imekaaje au card yangu imeungwa na zile kaya masikini hvy wananionea huruma.?
Huwenda mambo hufuatilii ila kunamakato ya kila mwenzi ya 1,800
 
Hizo ni charges za kawaida za benki na ulikubaliana nazo kwenye kile kipengele cha ‘Terms & Conditions’ ambacho wengi wetu hatunaga muda wa kuzisoma huwa tunaclick accept. Nadhani ifike mahali tuone aibu jamani, ulitegemea huduma za kibenki uzipate bure kabisa kweli 🤦🏽‍♀️
 
Mchangiaji ana hoja ya msingi.Tatizo letu sisi ni wabinafsi.Tukilibeba hili kwa ujumla wetu kwamba hiyo pesa kwa wingi wetu tunapokatwa inamnufaisha kwa kiwango kikubwa mno huyo mwenye benki kuliko uhalisia lazima watapunguza tozo.Tatizo la nchi hii kila mtu anajiangalia yeye binafsi,hatuwaangalii wenzetu wenye kipato cha chini.Fikiria mtu anakatwa hivyo na bado anakutana na utitiri wa kodi na ni mfanya biashara.Mazingira ya biashara yake ni magumu mno hadi aje kupata faida.Hiyo ni chanzo cha uchumi kudumaa ktk mfumuko huu wa bei na gharama za maisha kupanda.Natamani kuona report ya account za benki zinazofungwa au kufunguliwa kila mwaka hapa Tanzania ili kuishibisha hoja ya mleta uzi
 
Tatizo hiyo card iki expire bado utaambiwa lipia kadi tena
 
Account yangu ya Nmb ilikuwa haina kitu kwa muda wa miezi 4 nikaja kuweka elfu 50 ikakatwa yote, tangia siku hiyo sijaweka ela Tena, now Nampango wa kufungua account ya EXIM Bank au ni renew card yangu ya CRDB
Mimi nilitumiwa laki 2 kwenye NMB account halafu nikaacha kuitoa kama wiki 2 hivi. Kuja kuangalia nakuta laki na ishirini imekatwa. Yaani niliambulia Tshs. 80,000/= tu. Niliwalaani sana NMB na nikaona ni wezi kabisa. Majizi makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…