Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na mimi nilishawai kusikia hicho kitu ila hadi leo sijawai kukionaKuna POS zinauzwa na mawakala wa TRA kutolea risiti za EFD, hivi zile hawakubali kukuunganishia ili uzifanyie kazi?
Pia kuna kipindi nilisikia wakala anaweza kufanya miamala kwa ku download app ya bank husika kwa simu yake, je hiyo haipo tena?
Kama vyote hivyo ni ngumu kufanyika na hiyo pesa yakulipia POS haurudishiwi, basi hakuna biashara hapo. Maana hizo machine ni za bei ndogo sana, labia nao wameamua kufanya biashara ya kuuza hizo POS.