CRDB bank ni noma, mashine pekee ya wakala wananipa kwa milioni moja

Duh, kama ni kweli basi kufanya biashara bongo ni kazi sana. Hapo hujakutana na TRA, Halmashauri, Osha, umeme, taka, maji, ulinzi na bado hawajakuibia. Noma sana
hii nchi ngumu sana mkuu
 
Kuna POS zinauzwa na mawakala wa TRA kutolea risiti za EFD, hivi zile hawakubali kukuunganishia ili uzifanyie kazi?
Pia kuna kipindi nilisikia wakala anaweza kufanya miamala kwa ku download app ya bank husika kwa simu yake, je hiyo haipo tena?
Kama vyote hivyo ni ngumu kufanyika na hiyo pesa yakulipia POS haurudishiwi, basi hakuna biashara hapo. Maana hizo machine ni za bei ndogo sana, labia nao wameamua kufanya biashara ya kuuza hizo POS.
 
na mimi nilishawai kusikia hicho kitu ila hadi leo sijawai kukiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…