The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 594
Wakuu,
Hii Bank yetu tunayojivunia kuwa inafanyabkazi vizuri naona sasa imeanza kuwa na tabia za kizamani. Nimeingia Bank saa 7 mchana kwa nia ya kupata huduma ya fasta na kutoka lakini hivi nnavyoandikaa ni saa 9 na nusu alasiri network hakuna.
Kwani huu mkonga wa Taifa haujaanza kufanya kazi ama huku kwetu hauhusiki ?
Hii issue ya network kwenye hii Bank inaanza kushika kasi sasa na mimi kama mtumiaji mkubwa naanza kuchoka sasaa....
Meneja wa Bank ametoa tangazo la kukatisha tamaa kuwa kama mtu ana haraka aondoke aje kesho kama vip asubiri mpaka saa 10 wakifunga kama itakuwa tayari...
Hivi hapa Tanga mjini ukiacha Bank hii ya maendeleo vijijini - CRDB nani wengine wako vizuri upande wa network ili nihame wanduguu...??