Crdb bank vipi wameshaita interview ya pili ya relationship manager

kilago

New Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
2
Reaction score
1
Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na walituahidi kutupigia baada ya wiki ila mpaka sasa ni kimya. Kwa mwenye taarifa yeyote anijuze
 
Kama siyo mchaga usitegemee watakupigia.
 
wameshapika ndugu, ya mwisho wamepiga alhamisi iliyopita nilikua oral pale azikiwe.
 
Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na walituahidi kutupigia baada ya wiki ila mpaka sasa ni kimya. Kwa mwenye taarifa yeyote anijuze

Nakumbuka Interview hiyo mlifanyishwa na computer pale Mikocheni na mlikuwa batch mbalimbali. Wanangu wawili walikuwepo, mmoja kamaliza mzumbe HRM na mwingine UDSM BBA. Wote Mungu kawajalia na walishaitwa kwenye oral wiki iliyopita. Kama hujaitwa ina maana hukufanya vizuri ule wa computer. CRDB huwa hawana longolongo za kuchelewesha majibu na wala hawana upendeleo kwa sababu mtihani unatungwa kwa computer na kusahihishwa kwa computer. Ule wa Oral ni mrahisi tu, almost kila mtu huwa anashinda. kazi kubwa iko kwenye huo mchujo wa Computer. Usikate tamaa, endelea kuwafuatilia ili kama hukupita ufanye tena baadae ikiwa kutakuwa na interview nyingine. Huwa hawazuii kurudia hata mara kumi. Pole kijana, Mungu atakusaidia.

Back
Top Bottom