Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na walituahidi kutupigia baada ya wiki ila mpaka sasa ni kimya. Kwa mwenye taarifa yeyote anijuze