Kama siyo mchaga usitegemee watakupigia.Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na walituahidi kutupigia baada ya wiki ila mpaka sasa ni kimya. Kwa mwenye taarifa yeyote anijuze
kama hujui lolote si bora ukae kimya?Kama siyo mchaga usitegemee watakupigia.
wameshapika ndugu, ya mwisho wamepiga alhamisi iliyopita nilikua oral pale azikiwe.
Ni takribani wiki mbili sasa tangu tufanye interview ya kwanza na CRDB Bank upande wa Microfinance pale CRDB BANK HOUSE-MIKOCHENI INDUSTRIAL AREA kwa post ya Relationship Manager-Microfinance na walituahidi kutupigia baada ya wiki ila mpaka sasa ni kimya. Kwa mwenye taarifa yeyote anijuze