CRDB Bank: What a terrible experience!

Huyo huyo kama kaburu fulani hivi, aisee alitusumbua njoo kesho kesho kutwa mwisho tena tukaona hatuwezi kushindana tukaachia ila INAUMA SANA!

Rudi ana mind bahasha za khaki sana yule, uone atakavyo kukaribisha cku ya pili?
 
Jamani hivi wenzetu hizi pesa mnatowa wapi! au mna migodi? maana Millioni 10 ukinidhurumu mimi unaweza hata kunisababishia tatizo kubwa la kisaikolojia.

Tatizo lenu nyie mnaishi Tz kama watanzania, tena muwaambie madogo zenu wanaopata mikopo wanaweza wekeza na pia kuna projects nyingi tu za kupiga kipindi cha likizo. Mfano mimi mpaka nagraduate nilikuwa na account yenye 3m na kausafiri kangu. Amini sikuhongwa wala kupewa bure ila gari nilinunua kwenye kampuni iliyokuwa inamaliza project yake na kuuza samani zake
 
Huyo branch Manager anayewaambia wateja pesa zimeingia kwenye Suspense account ni mwehu kabisa!

Pesa kuingia kwenye suspense account sio dhambi, na wala sio makosa ya mteja. Inawezekana account ya mteja ilikuwa dormant au sababu nyingine zozote. Ila ninavyofahamu mimi mahala ambapo kuna control nzuri kunakuwa na mtu anayefanya kazi ya kupitia suspense account kuona kama kuna entries mpya na kuzifanyia uchunguzi halafu unapeleka huko zinapotakiwa zikae. Ni mwiko entries kukaa suspense muda mrefu na kama wana Internal auditors wazuri au watu wao wa Risk wapo makini wanatakiwa wawe wanaangalia hili kwa sababu kuna hatari ya hizo pesa kupelekwa kusikotakiwa kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
 

Kwa bongo that system never works!!! Labda uweke cc mbunge wako kama ni wa CDM!!!
 

Issue yako ni kama yangu tatizo la ya kwangu walishindwa nionyesha picha wakasema zimefutika. Na ilikuwa VISA ambayo huyo mtu alichukulia kwenye bank nyingine tofauti kama baclayz, std chartered na hapo hapo Lumumba. Sasa mimi naishi mwenyewe na kadi yangu ninayo na ni ndani ya siku kumi maana ile ya kumi na moja ndo nilienda ATM kutoa wakanambia siruhusiwi kutoa zaidi ya 1M nafikiri kilichotokea utakuwa na jibu........
 
Pesa nyingi zinazotolewa kwenye ATM ni ndugu labda dada yako amekuibia, mke wako, kaka yako, bf wako, gf wako, rafiki yako nk Tunza kadi yako na Password utaishia tu kusumbua benki wakati mkosefu wewe mwenyewe. Uliona wapi Password inaandikwa kwenye kikaratasi unaweka na kadi humo humo kwenye wallet? Halafu unapoteza Wallet leo una report benki baada ya siku 5!
 
Ukitaka mkopo CRDB weka MKE watakupa fasta lakini mali isiyohamishika ni noma utazungushwa mpaka kiatu kiangalie nyuma, hawa jamaa ni hatari wa maendeleo, wamefunga Tai na Mafisadi tu, wakina Richie EPa na Vocha Pembejeo
 
Go and read again about the financial crisis in the US... And you should not have dismissed the guy because you don't even understand the projected cash flow pattern from the project he is talking about.
 
Kaka mbona unajitaftia shida... Crdb ina wenyewe na biashara zai, kimei is busy shagging his employees
 
Kimei ajira yake mkataba lakini renewable katika specified period.
 
Hujaaddress issue ya inkoskaaz ila umeleta utumbo wa excuse

the focus is in performance.. Hayo ya value hatasababishi 9 months delays
 
nimefanya kazi benki kwa miaka mitano, believe you me, watu wa benki wana akili za kizee sana, wana urasimu usio wa lazima, infact urasimu wa kipuuzi kabisa, we fikiria telecoms zimeanza kama miaka 10 hadi 15 hivi wakati mabenki yamekuwepo kwa miaka zaidi ya 40 lakini telecoms ziko na wateja zaidi ya milioni 19 wakati wateja wa mabenki kwa ujumla wao hawafiki milioni, hii inakuonyesha akili za hawa jamaa wa mabenki zikoje, afu ukiwakuta kwenye credit committee zao utadhani wanafanya maamuzi ya maana. . . hovyo kabisa watu wa mabenki
 
hahahahaaa....sasa hawa wanafanyaje hapa????(i mean kwenye uzi huu)

Mimi mpaka sasa hivi sijaelewa Bujibuji ana maana gani kuiweka hii hapa! au inaweza kuwa na uhusiano na huyo jamaa anamchungulia Anko Masaburu?!
 
Mkuu hawa wasanii aka mafisadi ktk sekta ya ulimbwende vp ? Lundenga miaka yote hiyo, waachie wengine. Huyu Ben nae nilishanga kashajiingiza huko ! Duh huyo shoto ambaye anaonekana utafikiri kapigwa brashi na shoe shinners ni nani ?
 

taratibu bwana mdogo, punguza misokoto
 
Hujaaddress issue ya inkoskaaz ila umeleta utumbo wa excuse

the focus is in performance.. Hayo ya value hatasababishi 9 months delays

You should differentiate CRDB and defunct MERIDIAN BIO Bank. CRDB has a duty to depositors, they can only lend to applicants who have viable business which is capable of repaying the principal and interest amount from her profits.
 
Go and read again about the financial crisis in the US... And you should not have dismissed the guy because you don't even understand the projected cash flow pattern from the project he is talking about.

If you know it better why dont you share with us? My position is that value of collateral does not reflect the ability of the business to pay principal and interest.
 
Acha ubaguzi wewe,wachaga wanaweza
 

Peleka mahakamani hao kama ni kweli, msimwachie Mungu.....ana msururu mreeeeefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…