CRDB Bank: What a terrible experience!


Mkuu unamaanisha nini kuishi Tanzania kama watanzania??? wanapaswa kuishi vipi?? Mikopo ya vyuo vikuu hii inayosumbua na isiyotosheleza unawezaje kuitumia katika miradi mingine tofauti na lengo lililo kusudiwa?? wewe ulifanya michakato gani ulipokuwa chuo ili wadogo zetu wajifunze??
 
Mimi sina hamu....siku hizi kuna mchezo wa kufanya ATM card frauds ,yaani inatumika bila wewe mwenyewe kujua,na kadi yako unayo mwenyewe.....sasa nikagundua kuna transactions zimefanyika kwa kutumia kadi yangu kununua bidhaa baada ya kuhisi mwenendo usio wa kawaida wa balance yangu..nika print statement ya mwezi nikakuta 'card purchases zimefanyika kibao..na hawachukui hela nyingi ,ni kati ya laki 1 na laki tatu kwa kila transaction ili kama haupo makini usistukie...nikapeleka malalamiko yangu pale Azikiwe...dah! mungu wangu! ilinichukua kama miezi miwili na nusu kupata hela yangu !!!...nilikuwa kama ombaomba kila siku kufuatilia wakati makosa yalikuwa ni yao wenyewe na ilikuwa ni haki yangu kabisa.....ila niliwaonya, next time, i will do it my way!
 
Jamani mimi nina foreign account yangu hapo, lakini cha kushangaza, nikiacha 100 USD nikijakurudi baada ya 6 months nakuta imelambwa yote na deni juu? yaani inanisikitisha, nikiuliza naambiwa izo ni charges za bank. Nikiwithdraw pia wanakata % sijui ngapi!!
sasa i have to keep my money abroad ambako atleast napata kafaida, wakati hizi pesa zingekaa TZ na kufaidisha waTZ wenzangu.
Kwakweli CRDB wamenichsha, infact nafikiria kuifunga iyo account (its too expensive)
Kama kuna mtu anajua Bank yeyote hapo Bongo ambayo naweza kufungua foreign account bila hela yangu kuliwa, naomba anisaidie info.
 
Lets be fair to CRDB, it might be very true that they have some weaknesses as a company, but for this particular case one cannot judge. We know nothing about "the project" Nkosikazi is talking about.....As far as I remember in the practice of lending, any second year student of Banking can correct me, a loan is approved only on the basis of a borrower's ability (in this case the project in question) to service the loan, and not on the value of the security or expectation that the loan will be refinanced.

By the way share price za CRDB zinaporomoka sana, can this negative publication explain anything because it appears the fundamentals have not changed much and shares of other banks trading at DSE are performing!!!!
 

nenda na recorder mfukoni akianza jibu utumbo unarecord kila ktu halafu unaingia mahakamani walipe fidia na pesa ya usumbufu
 


Any bank can decide not to give a loan to a cuystomer using any pretext. The customer cannot say that he/she is entitled to get the loan especially in Tanzania where most people are not trustworthy.

However, a customer is entitled to prompt reply from the bank. It is ridiculous for a bank to inform a customer the status of the loan application after a long time - 30 days is too long.
 
CRDB it is shame if we all put here our stories, please dont just listen as you put it, it is time to act.
 
Maana ya iyo picha ni kuwa CRDB ni wasanii!
Bujibuji kiashiwa maneno ndo maana kaamua kuiweka iyo picha ili utafsiri mwenyewe
 
.

Great analysis...tell us now why does it take forever for a client to be told of the eventualities?
 
Hivi ajira ya kimei ni ya kudumu, ama ni mkataba? Nauliza tu

...na mimi naomba kuongeza kuuliza tu; jamaa amekuwa kama mfalme wa ufalme fulani hivi. crdb ni yeye na yeye ni crdb.
 
...na mimi naomba kuongeza kuuliza tu; jamaa amekuwa kama mfalme wa ufalme fulani hivi. crdb ni yeye na yeye ni crdb.

Board ya wakurugenzi inamuona bado anafaa ndio maana bado yupo vinginevyo wangeshamuondoa long time.
 

Mrembo,

Njoo ufungue kwetu, kama una deposit cash dollrs no withdrawal charges. Na account yako ukiweka kwenye minimum balance and above no charges at all.
 
Mheshimiwa Maundumula umepambana sana kutete benki yako, are CRDB PRO? You should take those challenges on this thread to work on them
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa Maundumula umepambana sana kutete benki yako, are CRDB PRO? You should take those challenges on this thread to work on them

Ndachuwa,

Mimi ni Banker lakini sipo CRDB, ninachotetea hapa ni Banking Proffesion sio CRDB Bank. Kwanza hao competitor kwahiyo sina sababu ya kuwatetea.Naona hujanisoma uzuri bro.
 
Mrembo,

Njoo ufungue kwetu, kama una deposit cash dollrs no withdrawal charges. Na account yako ukiweka kwenye minimum balance and above no charges at all.

kwenu ndio bank gani?
 
Board ya wakurugenzi inamuona bado anafaa ndio maana bado yupo vinginevyo wangeshamuondoa long time.

...Comrade, If you live in Bongoland you will know that the said Board Directors are just Bongomites and can easily be compromised to make King Kimei the King-for-Life of the CRDB Empire. You talk as if the Board Directors are Angels...!
 
Benki za TZ ni janga. Mimi nilikuwa nashughurikia mkopo wa 800 m, nimeweka dhamana ya nyumba ya 1.5b, ipo mbezi beach, CRDB wakaleta mbwembwe na bla bla nikaona niende NBC, hawa walikuwa tayari kutukopesha, na walilidhika na dhamana. Ila sasa watatoa 800m kwa riba ya 26 %, na ilipwe kwa miaka mi-4. Tukachemsha. Lengo la mkopo ni kujenga appartment za biashara. Benki ni taasisi za ajabu bora desi
 

Head Teacher

Pole mkuu ndio bongo hiyo...

Tatizo interest rates zimepanda ghafla, mkopo wako unaoutaka leo ungeomba by 2010 au 2011 mwanzo mambo yangekuwa tofauti. Pengine wangekwambia 12.5%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…