Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Lol... mungu ataachiwa mangapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu nyie mnaishi Tz kama watanzania, tena muwaambie madogo zenu wanaopata mikopo wanaweza wekeza na pia kuna projects nyingi tu za kupiga kipindi cha likizo. Mfano mimi mpaka nagraduate nilikuwa na account yenye 3m na kausafiri kangu. Amini sikuhongwa wala kupewa bure ila gari nilinunua kwenye kampuni iliyokuwa inamaliza project yake na kuuza samani zake
Chezea WACHAGA wewe!
na bado wanata watoe Rais, MTAKOMA,na bado.
Tuna kila kitu, receipts zote nakwambia tumeenda na hivo vielelezo na yule manager pale holland alikubali ni kosa na tukajua zimeliwa na huyo mtu na jina tunalo na alifukuzwa, cha ajbu badala ya kutulipa ni mizunguko na mwisho tena yule baba akawa mkali kweli kweli ! tulifikiria kwenda kwa Kimei tukaona tutampata wapi na utaingilia mlango gani! aaaah!
What matters is not the value of collateral but the ability of the business to generate adequate cash flows for repayment of finances. Sub-prime crisis which heavily affected USA financial markets was a result of financial institutions relying on value of mortgages without looking at cash flows.
The value of 320 million is just inflated number which can not be realized by way of sale.
.What matters is not the value of collateral but the ability of the business to generate adequate cash flows for repayment of finances. Sub-prime crisis which heavily affected USA financial markets was a result of financial institutions relying on value of mortgages without looking at cash flows.
The value of 320 million is just inflated number which can not be realized by way of sale.
Hivi ajira ya kimei ni ya kudumu, ama ni mkataba? Nauliza tu
...na mimi naomba kuongeza kuuliza tu; jamaa amekuwa kama mfalme wa ufalme fulani hivi. crdb ni yeye na yeye ni crdb.
Jamani mimi nina foreign account yangu hapo, lakini cha kushangaza, nikiacha 100 USD nikijakurudi baada ya 6 months nakuta imelambwa yote na deni juu? yaani inanisikitisha, nikiuliza naambiwa izo ni charges za bank. Nikiwithdraw pia wanakata % sijui ngapi!!
sasa i have to keep my money abroad ambako atleast napata kafaida, wakati hizi pesa zingekaa TZ na kufaidisha waTZ wenzangu.
Kwakweli CRDB wamenichsha, infact nafikiria kuifunga iyo account (its too expensive)
Kama kuna mtu anajua Bank yeyote hapo Bongo ambayo naweza kufungua foreign account bila hela yangu kuliwa, naomba anisaidie info.
Mheshimiwa Maundumula umepambana sana kutete benki yako, are CRDB PRO? You should take those challenges on this thread to work on them
Mrembo,
Njoo ufungue kwetu, kama una deposit cash dollrs no withdrawal charges. Na account yako ukiweka kwenye minimum balance and above no charges at all.
Board ya wakurugenzi inamuona bado anafaa ndio maana bado yupo vinginevyo wangeshamuondoa long time.
Benki za TZ ni janga. Mimi nilikuwa nashughurikia mkopo wa 800 m, nimeweka dhamana ya nyumba ya 1.5b, ipo mbezi beach, CRDB wakaleta mbwembwe na bla bla nikaona niende NBC, hawa walikuwa tayari kutukopesha, na walilidhika na dhamana. Ila sasa watatoa 800m kwa riba ya 26 %, na ilipwe kwa miaka mi-4. Tukachemsha. Lengo la mkopo ni kujenga appartment za biashara. Benki ni taasisi za ajabu bora desi