CRDB Bank: What a terrible experience!


kwa nini msiende mahakamani? hakuna sababu ya kumwachi Mungu kitu kama hiki. Please PM me for details
 
Banking sector is still in growth stage, they should enjoy the benefits while it last because with entrance of Equity Bank, Ecobank and few others in the market the trend will shift. Barclays just announced to close 10 branches this year.
 
Hii si ndiyo ile benki ambayo Mkurugenzi wake anawashurutisha wafanyakazi kwenda kanisani naye kutoa shukurani? What do you expect?

Ushawajaribu Citibank? Mnyamwezi bado yupo bongo? I am sorry mara nyingine kama ndugu zetu wanatuangusha unaweka kando uzalendo.

Kuna mzee mmoja alikuwa CEO wa shirika moja kubwa la umma, NBC walim frustrate mpaka akataka kutoa hela kuzi weka Citibank.
 
You sound like a frustrated guy. Kama unajua yote haya mbona unaishia kulalama tu?hakuna channels?au umetumwa na Benki yako ya kigeni kuchafua wenzio? kifupi huu wote unaouongea hapa ni uzushi mpaka ulete proof hapa barazani.Jamii Forum sio sehemu ya majungu, tukiendelea na mwendo huu tutageuza jukwaa hili kuwa kama blogs za mipasho.Get a life!
 

kweli hajaonesha vithibitisho
 

Very true....
 

Kwa nini uwaachie ? mbona hiyo ni Deal kubwa sana
ANAZO DOCUMENT HUSIKA ? Waone wana sheria tu
 
kweli kuweka fedha CRDB zaidi ya FDR utaliwa haijalishi hata kama utaweka milioni mia mbili. ukilinganisha ledger/service fees zao na faida/interest zao inakula kwao. ni kweli watu wanaanza kuhamia kwenye mabenki mbadala hususani jijini dar. Mzee kimei chunguza huenda kuna mchwa unatafuna benki yako wakati huna taarifa.
 
the bank will soon decline..,....it does'nt heed the cry of its customers more and mire people are turning their back from it!
 
Nimepigwa laki tatu kwenye account yangu leo na ATM card nilikuwa nayo. Jumatatu naenda kuwawashia moto Mlimani city
 
Labda sio kweli,kama aliweka huhitaji kwenda mahakamani. zama bot pale iweke ishu yako utaipata siku ya pili tu.
 
Bank ni shida vijana wanashindana pesa haitoshi kwanini mambo kama haya yasitokee?
 
Tatizo sio benk zetu bali ni bot, kwasa wanajidai wana skili sana, lakini washindwa kuona idadi ya mabenki inaongezeka lakini watumiaji wanapungua!!!! Kila zali wapo!!!@ lakini wanapeta tu. Kama bot habadiliki wanaoweka akiba na wanaotaka kukopo wataendelea kulalama
 
hata mkopo wa wafanyakazi wanaboa, unaomba mkopo ili utatue shida yako, mpaka sasa ni mwezi sasa hakuna kitu.

ovyooo kabisa. jumatatu naenda kuomba withdraw ya mkopo wangu
 
Kuna huduma yao pia ya simBanking,ni ya ovyo kinoma. Jana jioni nilizunguka ATM zote Mwanza mjini zilikuwa closed. Nikakumbuka siku za nyuma niliwahi kujiunga na huduma ya simBanking,lakini cha kusikitisha, hadi huduma hiyo nayo nilikuwa hipatikani. Sasa nijiuliza kuna maana gani ya mobile Banking? CRDB mjirekebishe.
 
hata mkopo wa wafanyakazi wanaboa, unaomba mkopo ili utatue shida yako, mpaka sasa ni mwezi sasa hakuna kitu.

ovyooo kabisa. jumatatu naenda kuomba withdraw ya mkopo wangu

mie nna mwezi wa tatu Posta hakieleweki kitu kulikoni au mikopo ya watumishi magufuli kasitisha? mabadiliko kilA mahali
 

Pole! Benki za huko zina-discourage watu kuweka pesa benki. Badala ya mtu kupata interest kwenye pesa alizoziweka unapigwa bank charges. Iliwahi nitokea mimi (nilipigwa charge mpaka pesa yote ikaisha)! Bahati nzuri pesa niliyoiweka ilikuwa ndogo. Kama ningetambua tabia hii nisingeziweka kabisa. Inabidi JPM awatembelee one of these days!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…