CRDB FED. Fainali ikipelekwa Zanzibar Simba hatoboi. Nawaambia kabisa hili Muelewe. Simba hamfungi Azam Zanzibar

CRDB FED. Fainali ikipelekwa Zanzibar Simba hatoboi. Nawaambia kabisa hili Muelewe. Simba hamfungi Azam Zanzibar

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Mpango wetu ulienda kama ambavyo tulipanga. Scratch my back and i will scratch yours.

Azam atufunge Shirikisho apite akapambane na Simba akachukue kombe akashiriki Kimataifa. Maana amewekeza sana kwenye usajili. Ni aibu akikosa shiriki CAF. Na ushindi wake kwetu usingemsaidia kitu kwenye ligi bado angeshika nafasi ya tatu.

Kisha sisi tuje mchabange kwenye Ligi uhakika wa kuchukua kombe upo. Azam na Yanga tumekuwa na ukaribu mzuri kutokana na mmoja ya watoto wa Mzee kuwa ni Yanga lia lia. Simba walikwazana na Azam kwa sababu ya Mo Dewj na ujuaji wake.
 
Huu ni ujinga, azam anamaliza kama 3rd runner ashinde asishinde atashiriki shirikisho kama singida.

Hivi mbona wewe huna akili hivi mburula? Tahira?
 
Back
Top Bottom