NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Mko vizuri sana kwenye slogan yenu ULIPO TUPO.
Mtu anakopa hela kwenu kwa makubaliano kuwa mtakuwa mnamkata kwenye mshahara wake kila ukiingia mwisho wa mwezi.
Mme muingizia mtu mkopo jumatatu hii mshahara haujaingia bado lakini leo hii alhamisi mmeanza kukata kwenye ule ule mkopo mnakiuka makubaliano.
Kulipwa ni haki yenu lakini mnamchanganya mteja.