NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Yaani wamekata kabla hujapata mkopo, au wamekata mkopo kwënye mshahara wa mwenzi huuMko vizuri sana kwenye slogan yenu ULIPO TUPO.
Mtu anakopa hela kwenu kwa makubaliano kuwa mtakuwa mnamkata kwenye mshahara wake kila ukiingia mwisho wa mwezi.Mme muingizia mtu mkopo jumatatu hii mshahara haujaingia bado lakini leo hii alhamisi mmeanza kukata kwenye ule ule mkopo mnakiuka makubaliano.Kulipwa ni haki yenu lakini mnamchanganya mteja.
Mko vizuri sana kwenye slogan yenu ULIPO TUPO.
Mtu anakopa hela kwenu kwa makubaliano kuwa mtakuwa mnamkata kwenye mshahara wake kila ukiingia mwisho wa mwezi.Mme muingizia mtu mkopo jumatatu hii mshahara haujaingia bado lakini leo hii alhamisi mmeanza kukata kwenye ule ule mkopo mnakiuka makubaliano.Kulipwa ni haki yenu lakini mnamchanganya mteja.
mkopo nimepata jumatatu hii nikaona umeingia shillingi ngapi ajabu leo alhamisi panga limepita na mshahara haujaingia.Yaani wamekata kabla hujapata mkopo, au wamekata mkopo kwënye mshahara wa mwenzi huu
Wamekata mkopo juu ya mkopo, hpo balaa, labda tarehe ya mahahara inasoma siku waliyokata, but mahesabu ni yaleyale. Hutakatwa ukiingiamkopo nimepata jumatatu hii nikaona umeingia shillingi ngapi ajabu leo alhamisi panga limepita na mshahara haujaingia.
Huku chuoni Wana kata boom kila likiingia,hatakama hakuna mkopo.Yaani wamekata kabla hujapata mkopo, au wamekata mkopo kwënye mshahara wa mwenzi huu
Kabisa Kimei kaondoka na hii bankCRDB ni madalali pia usisahau.
CRDB ilikuwa enzi ya Dr Kimei