C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
mie niko bank though siyo crdb wat i know ni kwamba kuna wizi mkali sana unaoendelea sasa hivi katika ATM zetu kuna vifaa ambavyo jamaa(matapeli) wanafunga kwenye atm ambacho kina detect number za siri, za mteja na hivyo kuwawezesha kutengeneza za kwao na kuja kupiga hela. swala la siku 45 ni sahihi kabisa maana kumrefund mteja ni swala ambalo watakiwa kujihakiki sana. coz siyo kila anae claim ni kweli kaibiwa wengine ni janja janja tuu. so poleni sana.
Watafungaje kwenye ATM kama sio mfanyakazi wa bank??
Hapa kuna tatizo