mie niko bank though siyo crdb wat i know ni kwamba kuna wizi mkali sana unaoendelea sasa hivi katika ATM zetu kuna vifaa ambavyo jamaa(matapeli) wanafunga kwenye atm ambacho kina detect number za siri, za mteja na hivyo kuwawezesha kutengeneza za kwao na kuja kupiga hela. swala la siku 45 ni sahihi kabisa maana kumrefund mteja ni swala ambalo watakiwa kujihakiki sana. coz siyo kila anae claim ni kweli kaibiwa wengine ni janja janja tuu. so poleni sana.
Watafungaje kwenye ATM kama sio mfanyakazi wa bank??
Hapa kuna tatizo
Watafungaje kwenye ATM kama sio mfanyakazi wa bank??
Hapa kuna tatizo
Kaka poleni! Hiyo ni Hasara kwa Bank after investigation inayochukua 45 days watarudishiwa but ni vzuri kufuatilia from time to time, nami ilishanitokea CRDB ilichukua zaidi ya miezi miwili hela kurudishwa.
Huwa wanabandika kifaa kidogo sana sehemu ya kuingizia card ambacho hata mfanyakazi wa bank siyo rahisi kukigundua, kikipata info za kutosha wanazitumia hizo info kuprint card fafa na kuweza kutoa pesa ila kuna ATM machine huwa zinafungwa kifaa maalum kudetect hizo card fafa,so far in Tanzania nadhani ni ATM za Barclays tu zina hicho kifaa but teknolojia inakua kila siku so anything is possible