Hopefully soon zitafika Dar pia na foleni zitaisha. Nina imani zitapunguza foleni na sijui utaingia ndani ya branch kufanya nini.
Kumbuka 15 years ago kulikuwa na ATM mbili tu Dar nzima!!
Nalipa bills zangu karibu zote online. Sikumbuki mara ya mwisho ni lini nilienda bank. Najua iko siku Tanzania tutafika hukozaja bila shaka sharpton tz pia.kuna mengi HAMISHA PESA YAKO HAPO HAPO KWA ATM,kulipa mabills,buy airtime na pia toa pesa ukitumia simu yako bila card hapo kwa ATM.RGDS
nalipa bills zangu karibu zote online. Sikumbuki mara ya mwisho ni lini nilienda bank. Najua iko siku tanzania tutafika huko
hamia advans bank ni covinient kabsa
Kama huduma ni nzuri sioni tatizo. Bora uwe na tawi moja lakini huduma bomba kuliko matawi kila kona lakini huduma ovyoooobank yenye tawi moja haifai bhana!
iko na branch 3 so far ,Manzese darajani,Kariakoo Lumumba street,na Temeke opposite na usalama bus station,bank yenye tawi moja haifai bhana!