waltham
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,522
- 1,045
Hopefully soon zitafika Dar pia na foleni zitaisha. Nina imani zitapunguza foleni na sijui utaingia ndani ya branch kufanya nini.
Kumbuka 15 years ago kulikuwa na ATM mbili tu Dar nzima!!
zaja bila shaka sharpton tz pia.kuna mengi HAMISHA PESA YAKO HAPO HAPO KWA ATM,kulipa mabills,buy airtime na pia toa pesa ukitumia simu yako bila card hapo kwa ATM.RGDS