CRDB kujenga ukuta wa fensi wa nyumba ya Daimond Platnumz ulioanguka

CRDB ni kampuni ya ujenzi?
 
Hii haiko sawa...CRDB ni Insurance Company?
 
Huo ukuta wa fensi ni wa ghorofa nini? 15m??
 
Crdb insurance broker before walikuwa mawakala wa real insurance but now ni broker inawezekana alikuwa amekata bima ya maafa.
 
Hii haiko sawa...CRDB ni Insurance Company?

Kwa kupitia kampuni tanzu ya CRDM MICROFINANCE, Crdb ni insurance broker hivyo ku link wateja na insurance company yoyote nzuri, usishangae, inawezekana kabisa
 
Kumbe ulikuwa haujajengwa hadi leo.
Ila Diamond kajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…