issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Benki ya CRDB imepanga kumjengea ukuta wa fensi wa nyumba ya Daimond Platnumz ulioangushwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. CRDB wamesema hayo kuwa watamjengea ukuta huo kwa kuwa Dai aliikatia Bima nyumba hiyo.
Gharama itakayotumika kujenga ukuta huo ni milion 15.
Chanzo: E-Fm Radio
===============
UPDATE: Diamond aonyesha Hundi ya pesa aliyokabidhiwa na UAP kupitia CRDB
Gharama itakayotumika kujenga ukuta huo ni milion 15.
Chanzo: E-Fm Radio
===============
UPDATE: Diamond aonyesha Hundi ya pesa aliyokabidhiwa na UAP kupitia CRDB