LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,727
- 13,466
Pale Crdb Kuna ujinga mwingi sana hasa wazee walioajiriwa kipindi Cha kimei huenda wengi waliingizwa kazini kwa vimemo
Juzi nimeenda na noti za sh laki moja ambazo ni chakavu elfu kumi 9 na elfu 5 mbili na uzuri zilikuwq zimechakaa tu sio kukatika vipande vikubwa vipotee ila ni uchakavu tu
Nikakuta jamaa pale mapokezi akanielekeza kwa wadada wale ni age 40 or 39 sio watoto wa juzi wale Cha kwanza Wana mashauzi balaa alafu wakaziangalia zile hela wakasema tunakubalilishia sh 20000 tu hzo nyingine zimechakaa sana
Nikasema kwan kilichonileta si ndio hicho uchakavu wakawa wanandelea na story zao
Nikawauliza Sababu za kuzikataa ni nini wakasema kama hii mkonga wa tembo hauonekani vizuri nikacheka 😂😂
Nyingine wanasema neno benki kuu N Haionekani inaonekana BE KI KUU TU
Nyingine wakasema mkia wa tembo hauonekani nikacheka tena ila hela zote namba pande mbili zilikuwa zinaonekana vzr ikabidi niwaulize huwa wanasoma mwongozo wa benki kuu au hawaujui ila kwa kuwa ni majeuri wakaniambia hawabadilishi nikawaambia nipeni hela zangu wakanipa wakasema unaweza kwenda
Nikaenda DTB bank pale mitaa ya wahindi posta wakauliza tu nimezipata wapi nikawajibu mizunguko ya biashara, Kuna mdada wa kihindi akazichukua akaziingiza kwenye kimashine Cha kuscan moja moja ,kisha chap nikapewa laki moja cash chap tu na sikutoa hapa Senti ni Bure
Sasa ndio mjue pale Crdb Kuna vilaza wa aina gani