Kuna mtoto mmoja yuko pale Azikiwe Premier namtamani sana toka siku nyingi ila juzi nimemkuta na engagement ring sijaelewa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Simu waache nje ya ofisi mpk mda wa kazi uishe ndio wachat wakipewa ata philips savy watachat tuu so dawa ni kuzuia wasiingie na simu kazini
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ni namna nzuri maana akitoka kazini anakwenda kubofya WhatsApp kwake sio kazini foleni ndefu ana chat na watu wake huku anasema mtandao ha kuna.
Wasipewe kabisa na wapige marufuku kutumia simu wakati wa kazi. Mtu upo kazini simu ya nini? Na ndo wanazotumia kuwasiliana na majambazi kama mtu kaja kuchukua hela nyingi
Itasaidia sanaaaaaaaaaa..
Halafu itasaidia nn sasa? Wewe unaendaga bank mara ngapi na kufanya nn? Mie huu mwezi wa pili sijaenda natumia online banking na debit card! Ni ulofa sana kudhani simu ndio kigezo cha performance
Kumbe huendi bank ndio maana huoni kadhia ya smart phone za bank staff kwa wateja. Si kila mtu ana access na online banking na debit card kama ww mkuu. Knowing kwamba wao ni binadamu wana dharura stimes ndio maana watapewa simu za kawaida but si kuchat fb., ig na kwingineko wkt wateja kibao wapo mbele yako!
Unajua suluba za benki ama unabwabwaja tu! Mtu anakaa mbagala anafanya kazi mikocheni anatoka kazini saa 12 jioni ni wasapu gani unayosema wewe?
Si uhamie maeneo ya karbu na ofisi
NOKIA 3310 Babkey ni suitableWapewe philips, au nokia ya tochi.
Si uhamie maeneo ya karbu na ofisi
nawafatilia tu mzozo wenu,Unanitafutia ban eehh?
Kwa mfano mkeo/mumeo kagongwa na gari na kavunjika mbavu nne so asubiri hadi jioni au? Una akili wewe timamu? Au nikuulize hivi...wewe umeoa? Hujiskii vibaya ukimaliza masaa mawili bila my wife wako kusema angalau hello! Hizo hela mshaambiwa tumieni TT nani anatembea na mapesa kiasi hicho acha umatumbi wewe
Wewe hossam umewekwa ndani na huyo mwanamke wako anayefanya kazi bank ndo maana kila saa unataka kuchat nae. Mimi nafanya kazi na mchumba wangu anafanya kazi hivyo na wakati wa kazi hatutumii simu na kazi zetu sio za kuudumia wateja kama bank. Fikilia hiyo unayosema ajali ikitokea kwa nduguyo ukaenda hospital ukakuta doctor na manesi wako busy na simu zao wanakwambia usubili utalalamika? Maana my wife wako anawafanyia wengine hivyo labda wanaitaji hela kwenda kulipia kitu kwa muda huo huo