CRDB kupiga marufuku smartphone kwa wafanyakazi wake.

CRDB kupiga marufuku smartphone kwa wafanyakazi wake.

Mi my wife wangu yumo mle halafu unaleta mambo ya kupiga cm ban...we b.o.y.a nn?
 
Mi my wife wangu yumo mle halafu unaleta mambo ya kupiga cm ban...we b.o.y.a nn?

Hossam tafuta kazi bwana mdogo huyo demu anayekuweka ndani siku akikuchoka ndo utajuta kama sio kushikiswa ukuta
 
Afadhali maana wamezidi..siyo kwenye bank tu wangefanya hata kwenye maofisi yote maana unaeza ukakaa kwenye foleni ya huduma eti kisa mtoa huduma anaji..chatishaa
 
Kupiga marufuku na utekelezaji (enforcement) ni vitu viwili tofauti. Tusubiri tuone kama uamuzi huu utatekelezwa.
 
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa wafanyakazi wake ili kuongeza ufanisi wa huduma.

Katika kikao hicho hoja iliyotawala ni matumizi ya sim hasa smartphone unavyopunguza ufanisi wa kazi na malalamiko mengi toka kwa wateja kuhusu wafanyakazi kuwa busy na sim zao kuliko kuhudumia wateja!
Ili kukabiliana na swala hilo uongozi umeafikia kutowaruhusu wafanyakazi wake kuingia na smartphone kazini badala yake wafanyakazi wote watapewa sim za kawaida ambazo wanaweza kuzitumia pindi wawapo kazini! Kila mfanyakazi atapewa sim mbili zisizo za smartphne watazotumia wawapo kazini!

Wanaogopa yale mambo ya kushirikiana na waendesha pikipiki ziiiileeee kwa whatsapp nini? Kwamba fulani ame draw kiasi fulani sasa hivi...
 
Na wewe ni ...matumizi ya madini ukiwa ndani...ama matumizi ya simu ukiwa ndani...
Ujue broo mi nina my wife wangu pale bank sasa akina massa na washkaji kibao wanashabikia na wewe ukiwemo kwamba eti ban ya simu itangazwe bank yaani sijui ntafanyaje maana my wife wangu yuko mule! Mi nalaani woote mnaosema simu zisitumike. Halafu wewe broo acha ubishi bila mzungu utaweza nini kwa mfano? Sio nyie hawahawa wazungu ndo wamewafundisha na ustaarabu wa kuvaa nguo? Mlikuwa wa mnyama kama ngedere miaka hiyo. Nahasira sana Leo...

Hahahahahahaha wewe jamaa bana unavituko kweli mlikua wa unyama kbsa kama ngedere hahahahaha eti unahasira sana Leo nani kaukudhi hahahahaha some people very funny
 
Nina kila sababu ya kubank na nyie..hatua nzuri sana
 
Hii imekaa vizuri, sio bank tu hata maeneo mengine ya huduma nyeti kama hospitalini hasa hizi zetu za mtoto wa Mkulima, balaaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jambo jema sana hili nina uhakika na taasis zingine wataiga,hizi simu sahivi ni kero sana kuanzia nyumbani,maofisini mpaka kwenye vikao tu hata vya familia mnaongea mambo ya msingi kabisa huku pembeni mtu yuko busy whatsap ..ulimbuke shida sana kwa wabongo
 
Hela zangu nahamishia huku kesho natafuta lile li tembo kadi lao
 
Wasipewe simu, mbona migodini watu hawaingii na simu
 
Na wewe ni ...matumizi ya madini ukiwa ndani...ama matumizi ya simu ukiwa ndani...
Ujue broo mi nina my wife wangu pale bank sasa akina massa na washkaji kibao wanashabikia na wewe ukiwemo kwamba eti ban ya simu itangazwe bank yaani sijui ntafanyaje maana my wife wangu yuko mule! Mi nalaani woote mnaosema simu zisitumike. Halafu wewe broo acha ubishi bila mzungu utaweza nini kwa mfano? Sio nyie hawahawa wazungu ndo wamewafundisha na ustaarabu wa kuvaa nguo? Mlikuwa wa mnyama kama ngedere miaka hiyo. Nahasira sana Leo...

Mkuu,,,inaonekena umekasilika kweli kweli,,au my YF wako nimiongoni mwa wanaowasongesha waTanganyika misururu mireefu,,,,! Sababu yakuchart naww mkisalimiana LUNCH siinatosha? au km vp ajiaajili mwenyewe mnaweza kupiga gumzo tangu afungua ofisi hadi jua linazama hakuna mtu atalalamika manake hata wateja watakaokuja wakimkuta bz na CM muda wt hawatalalamika baada ya muda mtaangalia mafanikia yake,,,,!! Lkn kwenye kz za watu cdhani km nizvr sana kiukweli watu wa BANK wanaBORE,,,,!
 
Back
Top Bottom