Mi my wife wangu yumo mle halafu unaleta mambo ya kupiga cm ban...we b.o.y.a nn?
Hossam tafuta kazi bwana mdogo huyo demu anayekuweka ndani siku akikuchoka ndo utajuta kama sio kushikiswa ukuta
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa wafanyakazi wake ili kuongeza ufanisi wa huduma.
Katika kikao hicho hoja iliyotawala ni matumizi ya sim hasa smartphone unavyopunguza ufanisi wa kazi na malalamiko mengi toka kwa wateja kuhusu wafanyakazi kuwa busy na sim zao kuliko kuhudumia wateja!
Ili kukabiliana na swala hilo uongozi umeafikia kutowaruhusu wafanyakazi wake kuingia na smartphone kazini badala yake wafanyakazi wote watapewa sim za kawaida ambazo wanaweza kuzitumia pindi wawapo kazini! Kila mfanyakazi atapewa sim mbili zisizo za smartphne watazotumia wawapo kazini!
Na wewe ni ...matumizi ya madini ukiwa ndani...ama matumizi ya simu ukiwa ndani...
Ujue broo mi nina my wife wangu pale bank sasa akina massa na washkaji kibao wanashabikia na wewe ukiwemo kwamba eti ban ya simu itangazwe bank yaani sijui ntafanyaje maana my wife wangu yuko mule! Mi nalaani woote mnaosema simu zisitumike. Halafu wewe broo acha ubishi bila mzungu utaweza nini kwa mfano? Sio nyie hawahawa wazungu ndo wamewafundisha na ustaarabu wa kuvaa nguo? Mlikuwa wa mnyama kama ngedere miaka hiyo. Nahasira sana Leo...
Kuna mtoto mmoja yuko pale Azikiwe Premier namtamani sana toka siku nyingi ila juzi nimemkuta na engagement ring sijaelewa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Unanitafutia ban eehh?