nakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source nipashe leo uk wa 3
Ni serikali iliyojaa usanii ikilindwa na ugumu wa kupata siri zake, siku ikitokea vichaa idara fulani imekwisha kabisa. Bofya hapa kwa habati kamili.:: IPPMEDIAnakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source nipashe leo uk wa 3
nakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source nipashe leo uk wa 3
Ipo siku tutakuwa tunaona aibu kujitambulisha kuwa ni Watanzania.
Hahaha unamchokoza spika?ha ha ha ha!
Mi nishaanza kuona hiyo aibu. Duh!
Hivi sheria inasemaje kuhusu mtu anaesema uongo?