Crdb kupiga mnada mgodi kiwira

Crdb kupiga mnada mgodi kiwira

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
nakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source nipashe leo uk wa 3
 
Kwani zilikopwa kipindi gani? Mkapa na Mkewe wakiwa wamiliki au kabla ya wao kijigenisha?
 
nakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source nipashe leo uk wa 3

TZ kwa nini kila kitu usanii. Hivi lini tutakuwa serious?
 
Ipo siku tutakuwa tunaona aibu kujitambulisha kuwa ni Watanzania. Serikali inajua yote hayo halafu inacheza usanii
 
nakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source nipashe leo uk wa 3
Ni serikali iliyojaa usanii ikilindwa na ugumu wa kupata siri zake, siku ikitokea vichaa idara fulani imekwisha kabisa. Bofya hapa kwa habati kamili.:: IPPMEDIA
 
nakumbuka waziri ngeleja aliwahi kusema mgodi umerejeshwa serikalini kumbe ni uongo!mgodi upo chini ya ufilisi wa crdb,pspf,nssf jumla 29bilion wanadaiwa kiwira coal and power project!source nipashe leo uk wa 3

Halafu mnunuzi Rostam-cum-JK .......Tz shamba la bibi

Halafu haka Kangeleja haka, i can smell kamewekwa kwenye hii wizara kafanya biashara fulani hivi ya umesenja.....
 
Ipo siku tutakuwa tunaona aibu kujitambulisha kuwa ni Watanzania.

ha ha ha ha!
Mi nishaanza kuona hiyo aibu. Duh!
Hivi sheria inasemaje kuhusu mtu anaesema uongo?
 
Back
Top Bottom