CRDB malkia account Msada kweye tuta

CRDB malkia account Msada kweye tuta

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
1,002
Reaction score
2,278
Greetings,
Binafsi nilifungua malkia account kwenye bank ya crdb ambayo kila mwezi nilitakiwa kuweka elfu 50. Kutokana na sababu za kuumwa nilishindwa kuendelea kuweka hela km ilivyotakiwa. Kwa kuwa vyuma vimekaza nimeona niende bank wanipatie kile kiasi nilichoweka. Je kwa uzoefu wenu nitapatiwa zile hela japo kidogo nilizoweka kwa accuunt hii ya malkia?
 
Ndio utapatiwa japo itabidi mgawane faida iliopatikana kwa kipindi chote pesa zako zilizodumu.yaan 50%of interest earned itachukuliwa na benki.hata hivyo si uvumilie tu muda uishe ya kipindi cha mwaka mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Terms and conditions ya kufunga na kuiendesha hii account zipoje? Rejea kwenye zile fomu kwanza.

God is a God of hearts
 
Sipaswi kuchukua hadi miaka 2. Na ishafika hiyo miaka 2/
Kama imeshafika hiyo miaka miwili ina maana imeshakua matured nenda kachukue tu as its saving account itakua na riba sio haba, riba itapigiwa kwa zile pesa zilizopo hata kama kuna mwezi hukupeleka as from my experience kutoka bank nyingine

God is a God of hearts
 
Ndio utapatiwa japo itabidi mgawane faida iliopatikana kwa kipindi chote pesa zako zilizodumu.yaan 50%of interest earned itachukuliwa na benki.hata hivyo si uvumilie tu muda uishe ya kipindi cha mwaka mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
IPO hivi: kila mwezi nilipaswa kuweka elfu 50 kwa muda wa miaka 2 ndio nichukue. Mimi niliweka miezi 4 tu nikaum mda mrefu. Miaka 2 ilishaisha ila vyuma vimankalia vibaya mno. Nataka nifwate lile salio. Ndio nimeuliza kama nitaruhusiwa kuchukua?
 
Go and try on this Monday halafu leta mrejesho

God is a God of hearts
 
Kama imeshafika hiyo miaka miwili ina maana imeshakua matured nenda kachukue tu as its saving account itakua na riba sio haba, riba itapigiwa kwa zile pesa zilizopo hata kama kuna mwezi hukupeleka as from my experience kutoka bank nyingine

God is a God of hearts
Asante mpenzi
 
Back
Top Bottom