Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Terms and conditions ya kufunga na kuiendesha hii account zipoje? Rejea kwenye zile fomu kwanza.Greetings,
Binafsi nilifungua malkia account kwenye bank ya crdb ambayo kila mwezi nilitakiwa kuweka elfu 50. Kutokana na sababu za kuumwa nilishindwa kuendelea kuweka hela km ilivyotakiwa. Kwa kuwa vyuma vimekaza nimeona niende bank wanipatie kile kiasi nilichoweka. Je kwa uzoefu wenu nitapatiwa zile hela japo kidogo nilizoweka kwa accuunt hii ya malkia?
Sipaswi kuchukua hadi miaka 2. Na ishafika hiyo miaka 2/Terms and conditions ya kufunga na kuiendesha hii account zipoje? Rejea kwenye zile fomu kwanza.
God is a God of hearts
Kama imeshafika hiyo miaka miwili ina maana imeshakua matured nenda kachukue tu as its saving account itakua na riba sio haba, riba itapigiwa kwa zile pesa zilizopo hata kama kuna mwezi hukupeleka as from my experience kutoka bank nyingineSipaswi kuchukua hadi miaka 2. Na ishafika hiyo miaka 2/
IPO hivi: kila mwezi nilipaswa kuweka elfu 50 kwa muda wa miaka 2 ndio nichukue. Mimi niliweka miezi 4 tu nikaum mda mrefu. Miaka 2 ilishaisha ila vyuma vimankalia vibaya mno. Nataka nifwate lile salio. Ndio nimeuliza kama nitaruhusiwa kuchukua?Ndio utapatiwa japo itabidi mgawane faida iliopatikana kwa kipindi chote pesa zako zilizodumu.yaan 50%of interest earned itachukuliwa na benki.hata hivyo si uvumilie tu muda uishe ya kipindi cha mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mpenziKama imeshafika hiyo miaka miwili ina maana imeshakua matured nenda kachukue tu as its saving account itakua na riba sio haba, riba itapigiwa kwa zile pesa zilizopo hata kama kuna mwezi hukupeleka as from my experience kutoka bank nyingine
God is a God of hearts
You are welcome anytime dia,Asante mpenzi