Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Naomba kuuziwa kit ya marathon time hii kwa ambaye hutaweza kushiriki kwa namna yoyote na ulijiandaa,
Mods msifute hii thread sababu watu hushindwa kwa namna mbalimbali ikiwemo msiba na safari hivyo sio mbaya kuomba backup, na hamna sehemu nyingine ya kuwapa backup isipokuwa hapa where we dare to talk openly.