Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
unapandisha uzi bei sioFunguka una shilingi ngapi watu tuingie mzigoni
sema unataka bei ganiFunguka una shilingi ngapi watu tuingie mzigoni
mazoezi tuTanzania tuna marathon almost every month lakini olympic hatuna hata bronze 🥉..... marathon za Ngono tu hizi
New Living Translationmazoezi tu
Laki unusu unapata chapusema unataka bei gani
Hizo marathon kuna wakimbiaji au wauza sura,wauza nyapu tu hukoTanzania tuna marathon almost every month lakini olympic hatuna hata bronze 🥉..... marathon za Ngono tu hizi
LAZIMA hapo watajipendekezaHizo marathon kuna wakimbiaji au wauza sura,wauza nyapu tu huko
Mbwembwe nyingiii...
Kidogo zamani kili marathon ili marathon haswa sema hivi karibuni imevamiwa na machawa,wadangaji vurugu tupu
Ova
Wauza sura tu haoTanzania tuna marathon almost every month lakini olympic hatuna hata bronze 🥉..... marathon za Ngono tu hizi
Nikitoka ibadani nitaenda kuuza maji na sigara na karanga nipate rizikiWauza sura tu hao
Hii ina ukweli..Hizo marathon kuna wakimbiaji au wauza sura,wauza nyapu tu huko
Mbwembwe nyingiii...
Kidogo zamani kili marathon ili marathon haswa sema hivi karibuni imevamiwa na machawa,wadangaji vurugu tupu
Ova