ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,804
Kwa hali isiyokuwa ya kawaida hawa jamaa wameanza sound zisizo na maana. Mnamo tar 2/01/2020 niliomba kadi mpya baada ya ile ya awali kuisha muda wake.
Baada ya kujaza form na kukamilisha taratibu zote nikaambiwa njoo tar 8 kuchukua kadi mpya.
Na ikumbukwe nilipo na sehemu ya kuchukulia kadi ni kama mwendo wa masaa 6.5 (kwenda-kurudi) na gharama ya shilingi 10,000 kama nauli toka chakula na muda nao poteza.
Kila nikienda naambiwa njoo siku 4 zijazo itakuwa tayari imetengenezwa ila cha ajabu mwendo ni ule ule tu.
Na nilijaribu kuongea na yule muhudumu wenu (mdada) anipe namba hata ya ofisi niwe nauliza incase imefika nije nichukue ila alikataa sasa sijui shida ni yeye au ndo utaratibu.
Haya mnayofanya hata SACCOSS hawafanyi hivo. Kupewa kadi mpya miezi miwili na mnamzungusha mtu unnecessarily hata hamuoni haya. Mnatengeneza faida kubwa ila mjue sisi ndo tunawapa kiburi.
Kama hamuwezi kutoa semeni tu sasa hivi tunahangaika na mambo mengine suala la kadi sio kipaumbele chenu.
Next week naenda tena kazi yangu ni moja tu, kupewa kadi mpya au kutoa balance yangu niweke MPAWA.