CRDB mbona mnataka kugeuka SACCOS

CRDB mbona mnataka kugeuka SACCOS

Hilo tatizo hata mimi limenikumba, wiki ya 2 sasa nimeenda hapo branch yao ya Azikiwe wanasema kadi bado nikawauliza tatizo ni nini wanasema mashine ya kutengenezea kadi imepata hitilafu wakanipa wiki 2 nyingine mbeleni hiyo inaonekana hawako serious.

Wakati niko hapo nikasikia mwingine nae anawalalamikia kakaa mwezi mzima kadi bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadhi yao na wanayoyafanya haiendani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom