Hilo tatizo hata mimi limenikumba, wiki ya 2 sasa nimeenda hapo branch yao ya Azikiwe wanasema kadi bado nikawauliza tatizo ni nini wanasema mashine ya kutengenezea kadi imepata hitilafu wakanipa wiki 2 nyingine mbeleni hiyo inaonekana hawako serious.
Wakati niko hapo nikasikia mwingine nae anawalalamikia kakaa mwezi mzima kadi bado.
Sent using
Jamii Forums mobile app