CRDB Mikopo ya Nyumba usanii ????

riba ni kwa 18% na 1 ya insurance, sijafahamu bado kama ni immediately au till grace period ndugu.
Ni mara tu baada ya kupopeshwa utatakiwa kurudisha marejesho ya mkopo
 
I think interest ni karibu zipo sawa labda ukope kwa usd nafikiri Cba ipo chini kidogo kwenye Usd tatizo na madafu yanavyoshuka chini ni majanga tu ..
 
Kwenye huo mkataba sasa kuna kakipengele kanasema, riba inaweza change kutokana na dola ilivyokwenye soko la dunia.
Hapo ndo utashangaa utakavyopigwa, Mfano ka kwa mwezi unatakiwa uwe unalipa mil 3, kuna kipindi inafika mil 3.4.Sa sijui nini maana ya ile breakdown wanayotoaga.

Huu ndo wizi wenyewe, mkopo unachukua kwa tsh, lakini riba ipo interms of dola.
 
all in all, bank ipi sasa kuna uafadhali wa -riba- na -muda-kupata mkopo pasipo urasimu katika kuupata?

Hakuna benki nchini yenye uafadhali.
Ni kama wote ni wagonjwa na hawawatendei haki wananchi.
Sekta ya fedha haijawa chachu ya maendeleo nchini.
 
Hakuna benki nchini yenye uafadhali.
Ni kama wote ni wagonjwa na hawawatendei haki wananchi.
Sekta ya fedha haijawa chachu ya maendeleo nchini.

Hapo ni sawia kabisa.
Sekta ya fedha haijawa na uzalendo wa kuwakomboa wa Tanzania.
Sioni sababu kwa nini riba ni 18% wakati rate of inflation iko kwenye 6-7.5%
Najua humu JF wamo watu wa BOT, wanaoset hizo rates, na tunataka majibu.
Otherwise hakuna biashara inayoweza kufanyika nchini na ikakidhi riba kandamizi kama hiyo ya 18%.
Na ndio maana Mabenki yanajitangaza sana, lakini watu wanazikodolea macho tu na kuiogopa mikopo hiyo ,maana mwisho wake ni kuuziwa dhamana.

Mimi ni mjasiria mali na nimefika hadi nje kutafuta mkopo mkubwa wa riba nafuu, nikapata, lakini tatizo ni kwamba lazima uingie ubia na mwananchi wa nchi hiyo, atakayekopa kwa niaba yako.
Wenzetu riba hasizidi 6% ,na kwa mikopo mikubwa zaidi riba inapungua.
Ni wakati sasa mabenki yetu yaanzishe mikopo ya riba nafuu, kwa mikopo mikubwa ya kiuwekezaji-capital investments.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…