fecc
Member
- Apr 15, 2013
- 72
- 16
Ni mara tu baada ya kupopeshwa utatakiwa kurudisha marejesho ya mkoporiba ni kwa 18% na 1 ya insurance, sijafahamu bado kama ni immediately au till grace period ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mara tu baada ya kupopeshwa utatakiwa kurudisha marejesho ya mkoporiba ni kwa 18% na 1 ya insurance, sijafahamu bado kama ni immediately au till grace period ndugu.
all in all, bank ipi sasa kuna uafadhali wa -riba- na -muda-kupata mkopo pasipo urasimu katika kuupata?
Hakuna benki nchini yenye uafadhali.
Ni kama wote ni wagonjwa na hawawatendei haki wananchi.
Sekta ya fedha haijawa chachu ya maendeleo nchini.