kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Hapo tatizo ni la tigo au crdb? Kwa maono yangu crdb anataka kukwepa majukumu yake kwa kusingizia tigo, fuatilia paka mwisho kataa hayo majibu ya kukulizisha ili uondokeMteja anapokea fedha kwenye accounts yake fedha zinafika na kusoma lakini mteja hawezi kutoa.
Benki imeamua kukimbia mteja wake na mumuacha 'akafe' mbeleHapo tatizo ni la tigo au crdb? Kwa maono yangu crdb anataka kukwepa majukumu yake kwa kusingizia tigo, fuatilia paka mwisho kataa hayo majibu ya kukulizisha ili uondoke
Hii imenitokea leoNiliachana na CRDB baada ya kadi yangu kumezwa kila nikitaka kutoa hela. Siku moja alfajiri nimeenda ATM nilikuwa na short trip nimeingiza kadi ikamezwa na ATM nikasema; fine.
Nikakaa kama siku nne hivi nikaenda kwenye ofisi zao ndani, nikasubiri takribani lisaa moja na nusu na nikakabidhiwa kadi yangu.
Baada ya kutoka nje ya ofisi nikasema ngoja niingie kwenye ATM nikatoe pesa kidogo looooh! Kadi yangu ikamezwa tena, huo ndio ulikuwa mwisho wa mimi kutumia CRDB.
Hii ilinitokea mwaka 2020.
Mpaka sasa sitaki hata kuwasikia.