Selwa
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 583
- 590
Hivi Jamani ni mimi mwenyewe napata shida crdb hii ya mlimani city, nimefanya hapa biasha zangu kuanzia 2011 ila naona mwaka huu kama service ni mbaya mnooooo mnooo. kutoa hela kwenye account nashindwa kufunga account ni procedure yani ni tafrani. customer service desk ni mbovu mteja unasubiri masaa mawili uhudumiwe na bado unapewa majibu ya ajabu na wahusika hawana msaada kabisa.kwa kweli nimesikitika. Pili wamebadilisha wafanyakazi woote kwahiyo hawa WAGENI hawakupi ata service nzuri yeyote yani ni tafrani hivi kweli Huyu Maggid kaka kujenga au kuibomoa hii benki mbona hovyo sana. kibaya zaidi tulikuwa kama watatu tunaotaka kufunga account....kama mkurugenzi mtendaji utasoma hapa tuma watu wako asimamie watu wako wa hapa mlimani uone jinsi wateja tunavotaabika. mimi ni mteja kama siwezi toa hela kwenye account yangu kwasababu za kijinga ambazo hata hamsaidiii kupata supu solution ni kuhama benki na tumehama wengi hatuwezi tusumbua wateja hivi