CRDB mmefanya kibaguzi haiwezekani Zanzibar mtoa mikopo isiyo na riba,Tz bara mikopo iwe na riba

CRDB mmefanya kibaguzi haiwezekani Zanzibar mtoa mikopo isiyo na riba,Tz bara mikopo iwe na riba

Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo?
Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio.
Kama swala ni imani kuwa hakuna riba bhasi kaeni hivyo hivyo bila kufungamana na upande wowote
View attachment 2118030
View attachment 2118031

7E26E5C1-D896-49D8-ADA8-026BD9250C28.jpeg
 
Kila zama na zama zake...

Sasa zamu ya Zenji mpende msipende kama ilivyokua zamu ya chato...
 
Waongo tu hao..na wanafiki watupu..eti islamic bank hakuna riba?..thubutu uone..PBZ riba kama zote...hizi dini kwa unafiki zimejariwa.

Shetani hanaga rafiki..watakulima riba mpaka uchanganyikiwe.

#MaendeleoHayanaChama
PBZ wanaendesha biashara kwa namna mbili, kuna pbz islamic banking hiyo inafuata misingi ya kiislam na kuna upande wa kawaida huko ndo wanaendesha kama benki zingine wanavyofanya biashara
 
Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo?
Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio.
Kama swala ni imani kuwa hakuna riba bhasi kaeni hivyo hivyo bila kufungamana na upande wowote
View attachment 2118030
View attachment 2118031
Mbona chato walijenga bank mkalalamika wakajenga mahakama kuu kubwa hata .mikoa mikubwa haina

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
Ni hivi hicho ambacho kinaitwa faida kimelipiwa na serikali hivyo mty akikopa sh million 20 anairudiha kama ilivyo
 
Back
Top Bottom