peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo?
Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio.
Kama swala ni imani kuwa hakuna riba bhasi kaeni hivyo hivyo bila kufungamana na upande wowote
View attachment 2118030
View attachment 2118031
Au Service chargeHuko Ni Zanzibar.
Unaweza kuambiwa Ni mikopo isiyo na RIBA.
Kumbe inatolewa MIKOPO yenye FAIDA😀
PBZ wanaendesha biashara kwa namna mbili, kuna pbz islamic banking hiyo inafuata misingi ya kiislam na kuna upande wa kawaida huko ndo wanaendesha kama benki zingine wanavyofanya biasharaWaongo tu hao..na wanafiki watupu..eti islamic bank hakuna riba?..thubutu uone..PBZ riba kama zote...hizi dini kwa unafiki zimejariwa.
Shetani hanaga rafiki..watakulima riba mpaka uchanganyikiwe.
#MaendeleoHayanaChama
Mbona chato walijenga bank mkalalamika wakajenga mahakama kuu kubwa hata .mikoa mikubwa hainaHii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo?
Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio.
Kama swala ni imani kuwa hakuna riba bhasi kaeni hivyo hivyo bila kufungamana na upande wowote
View attachment 2118030
View attachment 2118031
Unauhakika inaoperate under Islamic rulesBenki ya watu wa Zanzibar PBZ ina matawi ya riba Kariakoo na Tazara na Islamic bank Lumumba. Benki gani ya kiislam isiyo na riba hapa Tanzania?