CRDB na bodi ya mikopo

CRDB na bodi ya mikopo

"Mwenye haki ataishi kwa imani" wala msiulize hajapata mkopo anauliza mambo ya bank account ana imani ya kupata hivyo mwelekezen.
 
usijali kama hauna akaunti ya CRDB utafungua tu siku unalipoti pale chuo au kipindi cha orientation mara nyingi vyuo karibu vyote wafanyakaz wa CRDB huw wanafany kaz hyo ya kuwafungulia wanafunz ambao hawana akaunt ila kama unayo si lazima kufungua
 
kumbe unatatizo la upungufu wa misamiati ya kingereza siku nyingine andika kwa lugha ya taifa na bado ujumbe utafika vizuri.....

hahahah mkuu na hiyo je?"we will meet here here"ikiwa na maana tutakutana hapahapa
 
ooooy wadau semeni sasa,tuna hamu na boom
 
Back
Top Bottom