Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
before the Mamba has caught you,it's better to cross the river quickl quickly
Tulia dogo kwanza huna uhakika kama umepata mkopo,kama nikufungua account utafungulia chuo tena kwa bei chee
kumbe unatatizo la upungufu wa misamiati ya kingereza siku nyingine andika kwa lugha ya taifa na bado ujumbe utafika vizuri.....
Utadharaulika mtoto wa kunyumba kila lugha ina code mixing & Switching
mUCe bur3
and if the mamba spot you.. u might fall down because of fear
Waalim wa Kiingereza tuna kaz ngumumna mambo kweli.
Utadharaulika mtoto wa kunyumba kila lugha ina code mixing & Switching
hahaha maji ya Ugoko Mamba hana ubavu
si unaona ujumbe ulivyofika vizuri...
hahahah mkuu na hiyo je?"we will meet here here"ikiwa na maana tutakutana hapahapa