CRDB na mikopo ya wafanyakazi

CRDB na mikopo ya wafanyakazi

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Nawasalimu!
Nimesikia CRDB wameanza kutoa mikopo bora zaidi kwa watumishi wa umma kama waalimu, manesi nk. Mimi nahitaji kuchukua mkopo sasa,... Naomba mwenye ufahamu anisaidie kujua hasa vigezo gani natakiwa kuvitimiza ili nipate mkopo toka CRDB.
 
kama wew ni mfanyakazi unapata zaidi ya laki mbili, unapewa mkopo, mfano salary yako ni laki 3, utapewa mkopo wa 300,000x13=3,900,000/- milioni tatu na laki tisa , unachukua salary x miezi 13,
 
msije mkawa wezi maana walianza na SACCOS sasa hazipo
Walimu wanapewa mikopo kuanzia mil 15 na marejesho ni miaka mi3
kwa hesabu ya jamaa hapo juu laziima inakataa kwani Sheria hairuhusu kurudi nyumbani na mshahara 40%
kwa hiyo ndio maana CRDB wanakopesha hadi niaka Mi3
Hapa mjini kweli walimu wetu wa Msingi wana ma- Klugger, Harrier, Noah hizi Corolla ndio usiseme lkn ni Walimu wa Kike zaidi kwani wana uhakika na kipato cha mume
Sasa ndugu yangu ukiingia hapo km ww ni Mwl wa kiume na Mkuu wa Primary tegemea Miradi ya nje km tution na paper la sivyo hii Benki inakamua hasa km utaichezea pesa hiyo ya madafu
 
Asante! Kwa mfano mimi mshahara wangu ile "take home" ni 470,000/ na ninahitaji kukopa millioni 10, je hapo inawezekana? Au formula ni ileile 470000x13 na is vinginevyo?? Samahani lakini.
 
msije mkawa wezi maana walianza na SACCOS sasa hazipo
Walimu wanapewa mikopo kuanzia mil 15 na marejesho ni miaka mi3
kwa hesabu ya jamaa hapo juu laziima inakataa kwani Sheria hairuhusu kurudi nyumbani na mshahara 40%
kwa hiyo ndio maana CRDB wanakopesha hadi niaka Mi3
Hapa mjini kweli walimu wetu wa Msingi wana ma- Klugger, Harrier, Noah hizi Corolla ndio usiseme lkn ni Walimu wa Kike zaidi kwani wana uhakika na kipato cha mume
Sasa ndugu yangu ukiingia hapo km ww ni Mwl wa kiume na Mkuu wa Primary tegemea Miradi ya nje km tution na paper la sivyo hii Benki inakamua hasa km utaichezea pesa hiyo ya madafu

Asante! Kwa hiyo kumbe kwa mshahara take home 470000 uwezekano wa kuchukua mil 15 upo si ndo maana yake? Mi nahitaji kama 10 tu niongezee nianze biashara
 
sawa Mkuu chukua na baada ya mwaka kasome Vyuo km UDOM nk kwani huko mshaahara utalipia Deni huku ukisoma lakini ukifanya biasha huku unafundisha itakula kwako labda Kilimo
la sivyo watotot wetu wataumia maana siku hizi Vujijinu shule za Sekondari hasa za Kata ndio kabisa walimu whawaingii mwisho saa 4 na Serikali wao wanagoma kuwaongezea mkwanja wanavuta katika mifuko ya Jamii NSSF, LAPF nk na ninyi vuteni
attachment.php

Wee vuta Mkwanja huo ila sijuia wanataka uwe umekaa kazini miaka mingapi NTAKUULIZIA
 
Attachments

  • walimu wagoma.jpg
    walimu wagoma.jpg
    33.7 KB · Views: 275
Back
Top Bottom