Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wew ni mfanyakazi unapata zaidi ya laki mbili, unapewa mkopo, mfano salary yako ni laki 3, utapewa mkopo wa 300,000x13=3,900,000/- milioni tatu na laki tisa , unachukua salary x miezi 13,
msije mkawa wezi maana walianza na SACCOS sasa hazipo
Walimu wanapewa mikopo kuanzia mil 15 na marejesho ni miaka mi3
kwa hesabu ya jamaa hapo juu laziima inakataa kwani Sheria hairuhusu kurudi nyumbani na mshahara 40%
kwa hiyo ndio maana CRDB wanakopesha hadi niaka Mi3
Hapa mjini kweli walimu wetu wa Msingi wana ma- Klugger, Harrier, Noah hizi Corolla ndio usiseme lkn ni Walimu wa Kike zaidi kwani wana uhakika na kipato cha mume
Sasa ndugu yangu ukiingia hapo km ww ni Mwl wa kiume na Mkuu wa Primary tegemea Miradi ya nje km tution na paper la sivyo hii Benki inakamua hasa km utaichezea pesa hiyo ya madafu
sawa Mkuu chukua na baada ya mwaka kasome Vyuo km UDOM nk kwani huko mshaahara utalipia Deni huku ukisoma lakini ukifanya biasha huku unafundisha itakula kwako labda KilimoAsante! Kwa hiyo kumbe kwa mshahara take home 470000 uwezekano wa kuchukua mil 15 upo si ndo maana yake? Mi nahitaji kama 10 tu niongezee nianze biashara