Freedom and success in Tanzania is determined by personal efforts, achana na kungoja ajira za kihuni, you have been to school not only to be employed, you can start your business.
Labda ndugu badala ya lawama ungelimuelimisha mleta discussion hii ni vipi aanze biashara yake mwenyewe. Nijuavyo mimi biashara bila ya angalau vijisenti viwili vitatu haianziki. Kijana inaonyesha ndio kwanza amemaliza chuo atapata wapi mtaji wa kuanzisha biashara? si lazima kwanza uwe unapata sort of income na ndio uanzishe biashara? elimu tupu bila ya mtaji utaanzisha biashara gani?
Labda na hili nitafurahi sana kama utakuwa mkweli kabisa, tuambie wewe binafsi unafanya biashara ya namna gani? ulianza anzaje? ulipata wapi mtaji wa kuanzia? iko wapi biashara yako hio ili walio karibu waje wakuone kama changamoto kwao. Tatizo la watanzania wengi ni kuiga tu maneno ya wanasiasa eti start your own business lakini wao wenyewe hata hawajui ni nini kinahitajika kuanzisha business yeyote ile.
Nina maswali ya kumuuliza mwanzisha mada,
Mlipokuwa mnafanya field au kujitolea katika branch za crdb, mliingia makubaliano yeyote kwamba baadaye mtaajiriwa na Crdb?
Watu waliopewa ajira una uhakika kuwa hawana vigezo vya kukuzidi wewe?
Unajua waliopeleka maombi ni wangapi?

kwanza ujue mimi si mwasirika wa hili swala, ila ninawafahamu waathirika kadhaa na wengine wameahidi kufikisha malalamiko yao kwa dr kimei,
swali lako la kwanza ni kwamba walipewa ahadi na branch meneger kuwa ajira zikitoka watafikiriwa kwanza,
swali la pili kuna si kwamba waliopewa hawakuwa na vigezo, lakini wadau wanalalamikia mchakato wenyewe jinsi ulivyoendeshwa, ushahidi upo wa baadhi ya watu binafsi ninawafahamu wamebebwa.
Huhitaji mtaji kuanzisha biashara! Unatakiwa tu kuwa na "idea" halafu financing itafuata. Ukiwa na idea ambayo ni nzuri na itakayoleta faida, wapo watu wengi tu wenye pesa wanatunza benki huku wakitozwa gharama za kuzitunza huko watawekeza! The issue here is are you ready to start your own business?! Starting a new business is both exciting and rewarding, but it is also full of challenges. Na kutokuwa na mtaji is one of the changamoto.
Kjiajiri kwa kuanzisha biashara inahitaji kwanza uwe na positive attitude na ujuzi wa kuanzisha biashara. This means being honest about a range of issues - your knowledge, your financial status and the personal qualities that you can bring to your new business. Commitment, drive, perseverance and support from family and friends will go a long way towards transforming your business idea into reality and will be especially important during the early days.
Inshort, mtaji sio big deal when it comes to staring business! Waulize all sucessful people in business hata hapa tanzania hawakuanza na mtaji! So mtaji should not be an excuse. Tatizo letu kubwa ni uvivu na uoga wa ku take risk. In fact mtu unaweza kutumia pesa zako ulizodunduliza ukiwa chuo (tatizo tunapokua chuo hatuweki akiba yeyote kwa sababu tunakuwa na ndoto za kupatan kazi mara tunapo graduate, hatufanyi vibarua wakati wa likizo na wale tunaofanya pesa tuitumia kurudisha heshima baa), waweza kopa benki (kisingizio kitakua hatuna colletrals lakini kama unaaminika huwezi kosa wazamini like family members), kupata mikopo rahisi toka kwa ndugu jamaa na marafiki (tatizo hatuna tabia ya kudevelop networks na wengi wa marafiki zetu ni watu wa hovyo hovyo tu wasio na msaada. lakini kama tukiwa na newtwork for example with seniors tuliowakuta chuo, by the time tunaingia mtaani wao wanakua somewhere so ni rahisi tuwa pertners). Twaweza pia ku attract investors kama ndugu jamaa na marafiki wenye pesa lakini hawana good ideas, pia kuna grants na misaada ya serkali na mshirika. kwa mfano recently kumekua na programmes pare UDSM Business School na COSTECH ambapo wanawasaidia wajasiriamali kuendeleza biashara zao!
Tutadai hawa wote wana undugunaization lakini je tumechukua hatua yeyote kujaribu! make hata wakikufanyuia mizengwe, mimi naamini siku moja utafanikiwa tu! si wote muwaonao waliofanikiwa wana godfathers and godmothers. Cha msingi ni deternination na kuacha kulalamika na badala yake kujaribu.
Labda ndugu badala ya lawama ungelimuelimisha mleta discussion hii ni vipi aanze biashara yake mwenyewe. Nijuavyo mimi biashara bila ya angalau vijisenti viwili vitatu haianziki. Kijana inaonyesha ndio kwanza amemaliza chuo atapata wapi mtaji wa kuanzisha biashara? si lazima kwanza uwe unapata sort of income na ndio uanzishe biashara? elimu tupu bila ya mtaji utaanzisha biashara gani?
Labda na hili nitafurahi sana kama utakuwa mkweli kabisa, tuambie wewe binafsi unafanya biashara ya namna gani? ulianza anzaje? ulipata wapi mtaji wa kuanzia? iko wapi biashara yako hio ili walio karibu waje wakuone kama changamoto kwao. Tatizo la watanzania wengi ni kuiga tu maneno ya wanasiasa eti start your own business lakini wao wenyewe hata hawajui ni nini kinahitajika kuanzisha business yeyote ile.
Si kila biashara inahitaji mtaji wa fedha. Kuna biashara zinahitaji know -how tu. Kwa mfano, huhitaji kuwa na fedha kutoa book-keeping services!
Hii benki ni ya kifisadi, ndio iliyohusika kwa wizi wote wa fedha za EPA watu walipitishia huko. Hata ajira zinakuwa ni za kihuni kulinda mtandao wao wa wizi, favorites ni kabila la Kimei...
Hii bank itabidi ifilisiwe siku nchi yetu itakapokombolewa toka kwenye mfumo fisadi. Ushahidi wote upo na wanufaika kama akina Rajab Maranda wameishahukumiwa. Tuikatae hii bank wabongo
Uatpelekaje barua bila ya kuwa na taarifa.
you are joking wright? unasema kuna watu wanapesa na kama una idea wanakupiga jeki bila ya kuona ni namna gani utaendesha biashara hiyo, bila kuona kama kwa muda gani umeendesha biashara yako hiyo, bila kuona ni vipi utaweza kurejesha pesa zao, wanakupa tu pesa? unachotakiwa ni kuwa na idea tu basi? well kama ni kweli basi ni kweli tanzania ni tambarare.Huhitaji mtaji kuanzisha biashara! Unatakiwa tu kuwa na "idea" halafu financing itafuata. Ukiwa na idea ambayo ni nzuri na itakayoleta faida, wapo watu wengi tu wenye pesa wanatunza benki huku wakitozwa gharama za kuzitunza huko watawekeza! The issue here is are you ready to start your own business?! Starting a new business is both exciting and rewarding, but it is also full of challenges. Na kutokuwa na mtaji is one of the changamoto.