Huhitaji mtaji kuanzisha biashara! Unatakiwa tu kuwa na "idea" halafu financing itafuata. Ukiwa na idea ambayo ni nzuri na itakayoleta faida, wapo watu wengi tu wenye pesa wanatunza benki huku wakitozwa gharama za kuzitunza huko watawekeza! The issue here is are you ready to start your own business?! Starting a new business is both exciting and rewarding, but it is also full of challenges. Na kutokuwa na mtaji is one of the changamoto.
Kjiajiri kwa kuanzisha biashara inahitaji kwanza uwe na positive attitude na ujuzi wa kuanzisha biashara. This means being honest about a range of issues - your knowledge, your financial status and the personal qualities that you can bring to your new business. Commitment, drive, perseverance and support from family and friends will go a long way towards transforming your business idea into reality and will be especially important during the early days.
Inshort, mtaji sio big deal when it comes to staring business! Waulize all sucessful people in business hata hapa tanzania hawakuanza na mtaji! So mtaji should not be an excuse. Tatizo letu kubwa ni uvivu na uoga wa ku take risk. In fact mtu unaweza kutumia pesa zako ulizodunduliza ukiwa chuo (tatizo tunapokua chuo hatuweki akiba yeyote kwa sababu tunakuwa na ndoto za kupatan kazi mara tunapo graduate, hatufanyi vibarua wakati wa likizo na wale tunaofanya pesa tuitumia kurudisha heshima baa), waweza kopa benki (kisingizio kitakua hatuna colletrals lakini kama unaaminika huwezi kosa wazamini like family members), kupata mikopo rahisi toka kwa ndugu jamaa na marafiki (tatizo hatuna tabia ya kudevelop networks na wengi wa marafiki zetu ni watu wa hovyo hovyo tu wasio na msaada. lakini kama tukiwa na newtwork for example with seniors tuliowakuta chuo, by the time tunaingia mtaani wao wanakua somewhere so ni rahisi tuwa pertners). Twaweza pia ku attract investors kama ndugu jamaa na marafiki wenye pesa lakini hawana good ideas, pia kuna grants na misaada ya serkali na mshirika. kwa mfano recently kumekua na programmes pare UDSM Business School na COSTECH ambapo wanawasaidia wajasiriamali kuendeleza biashara zao!
Tutadai hawa wote wana undugunaization lakini je tumechukua hatua yeyote kujaribu! make hata wakikufanyuia mizengwe, mimi naamini siku moja utafanikiwa tu! si wote muwaonao waliofanikiwa wana godfathers and godmothers. Cha msingi ni deternination na kuacha kulalamika na badala yake kujaribu.